MAKOROKORO AT IBES (MAJI YA CHAI)

MAKOROKORO AT IBES (MAJI YA CHAI)


Contact Seller
Report this advert

Description

GARAGE SALE AT IBES (Maji ya Chai)

 

Hello friend

We’re delighted to welcome you to our FREE family event (Makorokoro) that will happen this September 25, at IBES (Maji ya chai). A variety of kids’ stuff and toys, home decor, kitchen wares, office stuff, electronics, paint canvas, gym stuff… will be available.

Come sell/buy and meet new friends, IBES will handle kids’ stuff with a variety of kid’s games and all the amazing baby stuff while Mambo Jambo Sarakasi will make you happy with the circus, juggling, balance workshops, and acrobatics

If you wish to sell things that day, kindly Book your spot here +255 768 473 720/ Email: makorokoroevent@gmail.com

We will be happy to see you and your family.

…………………………………………..

Habari Rafiki.

Tunafurahi kukukaribisha kwenye tamasha la familia (Makorokoro) Septemba 25, IBES (Maji ya chai), vitu mbalimbali vya watoto, vifaa vya nyumbani, jikoni, ofisini, vifaa vya eletroniki, picha, vifaa vya gym… pamoja na Burudani mbalimbali zitakuwepo.

 

Njoo uuze / ununue na kukutana na marafiki wapya, IBES itashughulikia mambo watoto, kwa  michezo mbalimbali ya watoto na vitu vyote vya kushangaza vya Watoto na Mambo Jambo Sarakasi watatoa burudani za aina yake

 

Ikiwa unataka kuuza siku hiyo tafadhali weka nafasi yako hapa + 255 768 473 720 / Barua pepe: makorokoroevent@gmail.com

Tutafurahi kukuona wewe na familia yako.

 

Karibu sana.

Image Gallery

Map Location