
Description
Karibuni muone vijana kutoka sehemu mbalimbali wakionesha biashara zao na mengine mengi.
Kiingilio: 2,000/- tu.
Sehemu: Via Via
Siku: Jumamosi ya tarehe 3, Oktoba
Muda: saa nane mchana hadi saa kumi na mbili jioni
Image Gallery
No images.