School Furniture Silent Auction/St Jude Arusha

School Furniture Silent Auction/St Jude Arusha


Contact Seller
Report this advert

Description

The School of St Jude will have a silent auction to sell used school furniture in Moshono Campus on the 10th of December, 2019 starting from 2.00 pm to 3.00 pm. You are all invited to come to view and bid. The winning bidders will be expected to pay and pick up the selected furniture on the same day otherwise the bid goes to the second highest bidder. Our gates will be opened to 4.30 pm to have all purchased furniture picked up from our premises. Note: There will be no parking on site, kindly park on the main road. Furniture includes many primary school chairs and desks, office tables, book shelves and office chairs.

For enquiries 0782 650 140

Mnada wa samani,

Shule ya St Jude inatangaza kuwa kutakuwa na mnada wa kimyakimya wa kuuza samani za shule zilizotumika siku ya tarehe 10 mwezi Desemba Kampasi ya Moshono kuanzia saa nane mchana (8.00 mchana) mpaka saa tisa alasiri (9.00 alasiri) wote mnakaribishwa kuja kuangalia na kutoa bei. Watakaoshinda mnada huo watatakiwa kulipia na kuchukua mzigo (samani) siku hiyo hiyo la sivyo atapewa mshindi wa pili. Tutaacha geti wazi mpaka saa kumi na nusu jioni (10.30 jioni) kuruhusu walioshinda kutoa vitu nje ya geti. Hakutakuwa na maegesho ya Magari ndani ya eneo la shule, unaweza kuegesha gari yako barabara kuu. Fanicha zinazouzwa ni viti vingi na madawati ya wanafunzi wa shule ya msingi pamoja na makabati makubwa, meza na viti vya ofisini.

Kwa mawasiliano 0782 650 140

 

With thanks, Gemma

PS:sent via my phone

https://www.instagram.com/gemmasisia/

Image Gallery

No images.

Map Location